Shirika la Habari la Hawza limechapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu cha “Alkaafi”:
Mtume wa Mwenyezi Mungu (saww) amesema:
«إأَوْلَی النَّاسِ بِاللَّهِ وَبِرَسُولِهِ مَنْ بَدَأَ بِالسَّلَامِ.»
“Mtu aliye karibu zaidi na Mwenyezi Mungu na Mtume Wake ni yule anayeanza kutoa salamu.”
Al-Kāfī, Juz. 2, uk. 644.
Maoni yako